Kampuni ya Apple imezindua simu mpya aina ya iPhone X ambayo hutumia utambulisho wa uso wako badala ya kidole kufunguka. Apple imesema kuwa simu hiyo inayojulikana kama Iphone 10 pia inaweza kutumia ...
Kwenye Sema Uvume wiki hii, Sylvia Mwehozi anakupitisha kwenye teknolojia inayotumika sasa na vyombo vya mawasiliano na usalama kutambuwa alama za uso wako na kuzitumia alama hizo ama kwa manufaa au ...